Search

917 results for Peter Elias :

  1. Mwabukusi, Madeleka waitwa tena Kamati ya Mawakili

    Mawakili Boniface Mabukusi na Peter Madeleka wameitwa na Kamati ya Maadili ya Mawakili kufuatilia mwenendo wa kesi zao walizoshitakiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    New Content Item (1)
  2. PRIME Sheria ya Magereza yatajwa chanzo cha manyanyaso kwa wafungwa

    Kauli iliyotolewa na Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Jenerali, Mzee Nyamka kuhusu unyanyasaji wa wafungwa magerezani, imewaibua wadau wa haki za binadamu wakitaka Serikali iwajibike kuchukua...

  3. Wanawake, vijana hatarini kupata magonjwa yasiyo ya kuambukiza

    "Kama jamii tunapaswa kuhakikisha tunafanya vizuri. Kwa bahati mbaya vijana wanaathirika zaidi kuliko rika jingine lolote, na wanawake wanaathirika kuliko wanaume katika sehemu nyingi tu kama...

  4. Zuma anavyoonja shubiri kabla ya Uchaguzi Mkuu

    Wakati Afrika Kusini ikielekea kwenye uchaguzi mkuu Mei 29, mwaka huu, Rais wa zamani wa nchi hiyo, Jacob Zuma anapitia changamoto lukuki tangu alipotangaza kutokiunga mkono chama chake cha...

  5. PRIME Mamilioni yanavyochangwa fomu urais wa Samia

    Ni vuguvugu la uchaguzi mkuu wa 2025, ambapo fedha zimekuwa zikichangwa kwa ajili ya gharama za fomu ya urais ndani ya chama chake.

  6. PRIME VIDEO: Makamba aainisha kinachopunguza mchango wa diaspora

    Sheria mbili kubadilishwa Bunge lijalo ili kuwahakikishia diaspora hadhi maalumu itakayokuwa na ofa kibao.

  7. Wadau waeleza matamanio muda uliosalia wa Rais Samia

    Wazungumzia masuala ya kushuka kwa gharama za maisha, uwajibikaji, kukamilika kwa miradi ya kimkakati, kuimarika kwa diplomasia ya uchumi, uchaguzi huru na haki, ujenzi wa taasisi imara za...

  8. Samia alivyojenga umoja akiipitisha nchi salama kwenye nyakati ngumu

    Ni safari ya milima na mabonde, kupanda na kushuka. Hivyo ndivyo unavyoweza kuielezea kwa ufupi miaka mitatu madarakani ya Rais Samia Suluhu Hassan.

  9. Makinda: Wananchi washirikishwe matokeo ya sensa

    Mchakato wa sensa ulikuwa na hatua tatu muhimu; awamu ya kwanza ya kampeni, awamu ya pili ya kuhesabiwa na sasa ni awamu ya tatu ya matumizi ya matokeo ya sensa

  10. Huu hapa wosia wa Mzee Mwinyi kwa familia

    "Nimejizuia sana kusimama na kuzungumza nikiwa na wasiwasi kuzidiwa na huzuni, nikamtaka mdogo wangu Mheshimiwa Abdallah Ali Mwinyi aniwakilishe, lakini nahisi nina deni nikasema nisiposisima na...

Page 1 of 92

Next